Post Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 16, 2016

JINSI MISINGI YA VIZAZI INAVYOWEZA KUKAMATA MAISHA YAKO.




Fahamu kwamba misingi ni chanzo au asili au chimbuko la mtu. Na msingi wako wa vizazi unatokana na ukoo wako na kabila lako.
         Fahamu pia kwamba yule aliyeanzisha ukoo wenu na kabila lenu ndiye aliye na nguvu sana katika misingi ya vizazi vinavyoendelea kuzaliwa baada yake. Na kufanikiwa kwa uzao kunategemea msingi wa uzao kwa yule mwanzilishi kaujenga kwa nani.
                         1WAKORINTHO 3:10-11
Biblia inasema “ 10  Kwa kadiri ya neema ya Mungu niliyopewa, mimi, kama mkuu wa wajenzi mwenye hekima, naliuweka msingi, na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini kila mtu na angalie jinsi anavyojenga juu yake. 11 Maana msingi mwingine hakuna mtu awezaye kuuweka,isipokuwa ni ule uliokwisha kuwekwa, yaani, Yesu kristo”


Mwl. Samwel Kibiriti
+255 765 867574

+255 673 784197
+255 785 855785
 

1 comment:

  1. Naomba makamilisho ya mafunzo haya. Tafadhali naweza kuyapata vipi/wapi?

    ReplyDelete

Featured Post

JINSI MISINGI YA VIZAZI INAVYOWEZA KUKAMATA MAISHA YAKO.

Fahamu kwamba misingi ni chanzo au asili au chimbuko la mtu. Na msingi wako wa vizazi unatokana na ukoo wako na kabila lako.      ...