NEEMA YA MUNGU NI KUBWA KWENYE MAISHA YANGU
Post Top Ad
Thursday, February 2, 2017
About ELIMU SAHIHI YA UFALME ( Mwanzo 1:26-28 ) Mwlm Samwel M Kibiriti
Mwanzo 1:26-28 ( Katiba ya Ufalme ) "Elohim akasema, “Na tumfanye adam kwa asili au taswira au nakala yetu, sawasawa kama sisi tulivyo; ili awe mtawala wa kifalme kwa samaki wa baharini, na ndege wa angani, na Wanyama, na dunia yote pia, na kila chenye kutambaa juu ya dunia. ” 27 Elohim akamuumba yule Adam kwa nakala/taswira yake Elohim alimuumba, alimuumba mwanamume na akamuumba mwanamke. 28 Elohim akawabariki, Elohim akawaambia, zalisheni yaani fanyeni vitu kutokea, mkaongeze uzalishaji, kisha uzalishaji huo ujae dunia yote, na kutiisha uzalishaji usipungue; mkawe watawala wa kifalme kwa samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya dunia yote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
JINSI MISINGI YA VIZAZI INAVYOWEZA KUKAMATA MAISHA YAKO.
Fahamu kwamba misingi ni chanzo au asili au chimbuko la mtu. Na msingi wako wa vizazi unatokana na ukoo wako na kabila lako. ...
No comments:
Post a Comment