BWANA YESU ASIFIWE
NAWAKARIBISHA NDANI YA BLOG HII AMBAPO UTAKUWA UNAJIFUNZA NA KUPATA MAARIFA KUPITIA MASOMO MBALIMBALI AMBAYO NITAKUWA NAYAFUNDISHA NDANI YA BLOG HII.
PIA YAKO MASOMO MBALIMBALI YA WATUMISHI WA MUNGU AMBAYO YATAKUWA YANAPATIKANA NDANI YA BLOG HII.
HAKIKISHA UNAWAKARIBISHA PIA MARAFIKI NA NDUGU ZAKO WAWE PIA WANAINGIA KWENYE HII BLOG.
KARIBU SANA NA NEEMA YA MUNGU NA BARAKA ZAKE ZIWE PAMOJA NA WEWE NA FAMILIA YAKO.
MIMI NI MWALIMU WA NENO LA MUNGU SAMWEL KIBIRITI.
MAWASILIANO YANGU.
+255 765 867574, VODACOM
+255 673 784197, TIGO
+255 785 855785, AIRTEL
Post Top Ad
Wednesday, February 1, 2017
Home
Unlabelled
KARIBU KATIKA BLOG HII YA CHUO CHA MAARIFA YA KIROHO.
KARIBU KATIKA BLOG HII YA CHUO CHA MAARIFA YA KIROHO.
About ELIMU SAHIHI YA UFALME ( Mwanzo 1:26-28 ) Mwlm Samwel M Kibiriti
Mwanzo 1:26-28 ( Katiba ya Ufalme ) "Elohim akasema, “Na tumfanye adam kwa asili au taswira au nakala yetu, sawasawa kama sisi tulivyo; ili awe mtawala wa kifalme kwa samaki wa baharini, na ndege wa angani, na Wanyama, na dunia yote pia, na kila chenye kutambaa juu ya dunia. ” 27 Elohim akamuumba yule Adam kwa nakala/taswira yake Elohim alimuumba, alimuumba mwanamume na akamuumba mwanamke. 28 Elohim akawabariki, Elohim akawaambia, zalisheni yaani fanyeni vitu kutokea, mkaongeze uzalishaji, kisha uzalishaji huo ujae dunia yote, na kutiisha uzalishaji usipungue; mkawe watawala wa kifalme kwa samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya dunia yote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
JINSI MISINGI YA VIZAZI INAVYOWEZA KUKAMATA MAISHA YAKO.
Fahamu kwamba misingi ni chanzo au asili au chimbuko la mtu. Na msingi wako wa vizazi unatokana na ukoo wako na kabila lako. ...


No comments:
Post a Comment