Post Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 30, 2017

2:23 AM

HISTORIA FUPI YA MWANDISHI



HISTORIA FUPI YA MWANDISHI:

Mimi kwa jina ni Samwel Kibiriti ni mwalimu wa Neno la Mungu ambapo Mungu Baba ameniita katika huduma hii tokea mwaka 2008 January ndipo nikaanza kufanya huduma nikiwa katika ofisi hii ya Ualimu, na kuzifunua siri za Ufalme wa Mungu kwa watu na kuwapatia Maarifa ya kiroho. Na mkono wa Mungu na Nguvu zake umekuwa ukitenda matendo makuu katikati ya maisha ya wanadamu.
   Ninafundisha katika makongamano makubwa na katika semina mbalimbali za makanisani, naza vijana. Pia mimi ni mwalimu wa kufundisha Neno la Mungu katika shule mbalimbali hapa nchini kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu.
   Na tena Mungu amenipatia nafasi ya kufundisha Neno lake katika mitandao hii ya kijamii na ambapo nimefanikiwa kusema na maelfu na maelfu ya watu kupitia mitandao hii.
   Niko tayari kufundisha Semina na kutumika katika kanisa lolote lile na ministry yoyote ile, tena niko tayari kufika katika shule yoyote ile na kusema na wanafunzi kwa habari za ufalme wa Mungu na kuomba nao ili kufunguliwa.
   Napenda nikukaribishe kujifunza zaidi kwa habari za Ufalme wa Mungu kupitia mafundisho mbalimbali ninayofundisha kwenye mitandao ya kijamii.
  Ambapo kwa WhatsApp niko na magroup mawili, Group la CHUO CHA MAARIFA YA KIROHO na group la CHUO CHA BIASHARA, hapa utapata maarifa mbalimbali ya kiroho kuhusu maisha yako na kuhusu kufanya biashara na kupata faida, lakini pia niko kwenye magroup mengine mengi ambapo nimeingizwa nako huko kufundisha Neno la Mungu.
    Kwa Facebook ukihitaji kujifunza masomo yangu utanipata katika ukurasa huu Samwel Kibiritiministry
  Pia unaweza kufuatilia na kujifunza masomo yangu kupitia blogspot hii   www.samwelkibiritiministry.blogspot.com au unaweza tu ukaandika “Chuo cha Maarifa ya Kiroho”.
  Na kupitia Email utanipata katika Email hii Pastorkibiriti@gmail.com

Kwa mawasiliano nami kwa kuhitaji msaada wa maombi ya aina yoyote aukuhitaji Ushauri utanipigia katika namba hizi hapa.
           Vodacom  +255 765 867574.
            Tigo          +255 673 784197.
         Airtel          +255 785 855785.

Featured Post

JINSI MISINGI YA VIZAZI INAVYOWEZA KUKAMATA MAISHA YAKO.

Fahamu kwamba misingi ni chanzo au asili au chimbuko la mtu. Na msingi wako wa vizazi unatokana na ukoo wako na kabila lako.      ...